Ibraah – Shem
Shem Music By Ibraah
Versatile Tanzanian recording artist, songwriter, and Konde Music Worldwide signee, Ibraah comes through with yet another interesting single called “Shem.” ENJOY and SHARE.
“Hapa,” his recently unveiled masterwork serves as a follow-up to this new stunning hit track.
Don’t forget to add this new fascinating hit track to your collection. It’s a fantastic choice for times when you’re looking to unwind and move to the beat.
LYRIC Below.
It’s Chinga Again
Oya Shem Kanitongoo…
Kanitongozaa!
Shem Kanitongoza
Taricooo
Malaya We Jina Langu La Utani Iloo
Malaya Wee, Jina Langu La Utani Ilooo
Malaya Wee, Jina Langu La Utani Iloo
Malaya Wee, Jina Langu La Utani Iloo
No Loss When You See Me Club
I Move Like Boss
Pisi Za Wadosi They Like To Take Photo
Me I Take Pose
Yeah Mademu Wananitaka Sitongozi
Nimezichoka Simu Zakina Rozi
Niko Na Teacher Konde Mkombozi
Wanangu Wa Kitaa Ni Chafu Pose
Shem Shem
Shem Shem
Kanitongozaaa
Shem Kanitongoza
Shem Shem
Shem Shem
Kanitongozaaa
Shem Kanitongoza
Everybody Move Move
Move Move (Pose)
Lets Move Move
Move Move (Pose)
Yes Move Move
Move Move (Pose)
Move Move
Move Move (Pose)
Alafu Tunatake Pose
Fanya Kama Unaipoza
Alafu Tunatake Pose
Chanzo Chakuniita Malaya Kisa
Nikiwa Kwenye Party Na Spend
Na Sipendi Kulala Weekend
Napenda Watoto Wenye Mzigo Na Mtindi
Na Wakati Wa Kulala
Pisi Zisiwe Chache Ziwe Nyingi
Maana Watoto Wanapenda Shilingi
Yanii Peesa Kama Huna Watakutesaa
(Aiwenaa)
Magetho Ufate Nini Hoteli Zote Hizo (Aiwee)
Chukua Chumba Mmalizane Usitake Mzoeane
Watakusumbua (Aiwena)
Watoto Wa Mjini Wanapenda Vya Dezo (Aiwee)
Pesa Yako Ya Mawazo Ibane Usitake Tulaumiane
Watakuchunua
Shem Shem
Shem Shem
Kanitongozaaa
Shem Kanitongoza
Shem Shem
Shem Shem
Kanitongozaaa
Shem Kanitongoza
Everybody Move Move
Move Move (Pose)
Lets Move Move
Move Move (Pose)
Yes Move Move
Move Move (Pose)
Move Move
Move Move (Pose)
Alafu Tunatake Pose
Fanya Kama Unaipoza
Alafu Tunatake Pose
9jastarsmusic Media Published this lovely track.
Song Dropped By Ibraah – Shem
Download, Listen And Share Shem Music By Ibraah Mp3 Below.
Do you find 9jaStarsMusic useful? Click Here To Chat With Us!